
Ndani ya siku nne, video ya wimbo huo aliowashirikisha P-Square imefikisha views zaidi ya milioni moja kwenye mtandao wa Youtube. Staa huyo hakusita kusherehekea hatua hiyo na mashabiki wake:

Video ya wimbo huo imetoka katika kipindi ambacho kundi la P-Square bado halina maelewano mazur
No comments:
Post a Comment